Lugha za Kiaustro-Asiatiki ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika nchi za Asia ya Kusini-Mashariki.
Katika familia hiyo kuna lugha 168 zenye wasemaji takriban milioni 100. Lugha za Kiaustro-Asiatiki zenye wasemaji wengi mno ni Kivietnam na Kikhmer ambazo moja ni lugha rasmi nchini Vietnam na nyingine nchini Kamboja.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiaustro-Asiatiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Lugha za Kiaustro-Asiatiki, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.