Lil Nas X

Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.

Lil Nas X
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Montero Lamar Hill
Amezaliwa Aprili 9 1999 (1999-04-09) (umri 25)
Asili yake Marekani
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki
Ala sauti
Miaka ya kazi 2015-hadi leo
Studio Columbia
Tovuti lilnasx.com

Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.

Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.

Diskografia

Albamu

Orodha ya albamu, pamoja na maelezo na nafasi iliyoshika
Albamu Maelezo Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio
Marekani
Australia
Austria
Canada
Denmark
Ufaransa
Ireland
New Zealand
Sweden
Uingereza
7
  • Ilitolewa: Juni 21, 2019
  • Lebo: Columbia
2 5 72 1 9 15 11 5 10 23
  • Marekani: 4,000
  • RIAA: Platinum

Nyimbo

Nyimbo Mwaka Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio Albamu
Marekani
Marekani
R&B
/HH
Australia
Canada
Denmark
Ireland
Norway
New Zealand
Sweden
Uingereza
"Old Town Road"
(pamoja na Billy Ray Cyrus)
2018 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1
  • Marekani: 1,536,000
  • RIAA: Diamond
  • ARIA: 10× Platinum
  • BPI: 3× Platinum
  • IFPI DEN: Gold
  • RMNZ: 4× Platinum
  • GLF: 2× Platinum
7
"Panini" 2019 5 2 15 8 28
18 26 14
42 21
  • RIAA: 2× Platinum
  • ARIA: 2× Platinum
  • BPI: Gold
  • RMNZ: Gold

Tuzo

Tuzo Mwaka Anayetuzwa/Kinachotuzwa Aina ya Tuzo Matokeo Marejeo
American Music Awards 2019 Mwenyewe New Artist of the Year Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Collaboration of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Rap/Hip-Hop Ameshinda
Video of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Pop/Rock Aliteuliwa
Apple Music Awards 2019 "Old Town Road" Song of the Year Ameshinda
BBC Radio 1's Teen Awards 2019 "Old Town Road" Best Single Aliteuliwa
BET Hip Hop Awards 2019 Mwenyewe Best New Hip Hop Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Single of the Year Ameshinda
Best Collab, Duo or Group Ameshinda
Bravo Otto 2019 Mwenyewe Newcomer -
BreakTudo Awards 2019 Mwenyewe International Male Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Hit of the Year Aliteuliwa
Country Music Association Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Musical Event of the Year Ameshinda
Danish Music Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Foreign Song of the Year Aliteuliwa
Grammy Awards 2020 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa
"Panini" Best Rap/Sung Performance Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Record of the Year Aliteuliwa
Best Pop Duo/Group Performance Ameshinda
Best Music Video Ameshinda
7 Album of the Year Aliteuliwa
iHeartRadio Music Awards 2020 "Old Town Road" Song of the Year -
Hip-Hop Song of the Year -
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Music Video -
Best Remix -
Mwenyewe Best New Pop Artist -
Best New Hip-Hop Artist -
LOS40 Music Awards 2019 Mwenyewe Best International New Artist Aliteuliwa
MTV Europe Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Act Aliteuliwa
Best Look Aliteuliwa
Best US Act Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Song Aliteuliwa
Best Video Aliteuliwa
Best Collaboration Aliteuliwa
MTV Video Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Video of the Year Aliteuliwa
Song of the Year Ameshinda
Best Collaboration Aliteuliwa
Best Hip-Hop Video Aliteuliwa
Song of Summer Aliteuliwa
Best Direction Ameshinda
Best Editing Aliteuliwa
Best Art Direction Aliteuliwa
MTV Video Play Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Winning Video Ameshinda
NRJ Music Awards 2019 Mwenyewe International Breakthrough of the Year Aliteuliwa
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus International Duo/Group of the Year Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Song of the Year Aliteuliwa
Video of the Year Aliteuliwa
People's Choice Awards 2019 Mwenyewe Male Artist of 2019 Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Song of 2019 Aliteuliwa
Streamy Awards 2019 Mwenyewe Breakthrough Artist Ameshinda
Swiss Music Awards 2020 "Old Town Road" Best International Hit -
Teen Choice Awards 2019 Mwenyewe Choice Male Artist Aliteuliwa
Choice Breakout Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" Choice Song: Male Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Choice Collaboration Aliteuliwa
Choice Song: R&B/Hip-Hop Ameshinda
UK Music Video Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Urban Video – International Aliteuliwa

Marejeo


Lil Nas X  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lil Nas X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Lil Nas X DiskografiaLil Nas X TuzoLil Nas X MarejeoLil Nas X19999 ApriliHip hopMarekaniMwanamuzikiMwandishiNyimbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SiasaKoloniKishazi tegemeziMkwawaVidonda vya tumboMwakaVita ya Maji MajiJokate MwegeloKiswahiliDuniaMkoa wa RuvumaSiriPumuUwanja wa Taifa (Tanzania)Mfuko wa Mawasiliano kwa WoteUkoloniMbeyaArusha (mji)Kiolwa cha anganiPapa (samaki)MaishaHalmashauriMitume wa YesuVitenzi vishirikishi vikamilifuDubai (mji)MalariaHoma ya mafuaMichezoUbongoPasifikiSheriaKitenzi kishirikishiMwanzo (Biblia)Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWilaya ya UbungoSayariUchaguziViunganishiSaidi Salim BakhresaHistoria ya uandishi wa QuraniAlizetiNimoniaOrodha ya milima mirefu dunianiHaki za wanyamaMagonjwa ya kukuTulia AcksonUtamaduniMaajabu ya duniaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaUpinde wa mvuaFalsafaTume ya Taifa ya UchaguziNdoaTupac ShakurVivumishi vya urejeshiMkoa wa MwanzaNyati wa AfrikaHistoria ya AfrikaRita wa CasciaKifaruUzazi wa mpango kwa njia asiliaMkoa wa SongweNomino za wingiOrodha ya Marais wa MarekaniCristiano RonaldoKukuMlima wa MezaDamuUpendoMkoa wa NjombeNomino za jumlaWakingaTetekuwanga🡆 More