Lana Del Rey

Elizabeth Woolridge Grant (anajulikana kwa jina lake la kisanii kama Lana Del Rey; alizaliwa Juni 21, 1985) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.

Lana Del Rey
Lana Del Rey, mnamo 2019.
Lana Del Rey, mnamo 2019.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Elizabeth Woolridge Grant
Amezaliwa Juni 21 1985 (1985-06-21) (umri 38)
Kazi yake Mwimbaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2005-hadi leo
Studio Interscope Records
Tovuti Lana Del Rey signature.png

Yeye ni mpokeaji wa tuzo mbalimbali, zikiwa ni pamoja na tuzo mbili za Brit Awards, tuzo mbili za MTV Europe Music Awards, na tuzo moja ya Satellite Award, pamoja na uteuzi wa tuzo sita za Grammy Awards na tuzo ya Golden Globe. Variety ilimtuza Hitmakers Awards kwa kuwa "mmoja wa waimbaji-watunzi wa nyimbo wenye ushawishi mkubwa zaidi wa karne ya 21."

Marejeo

Lana Del Rey  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lana Del Rey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1985Juni 21MarekaniMtunziMwimbajiNyimbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa nevaInshaKipepeoKiambishi awaliWikipedia ya KiswahiliAnwaniThamaniKataViwakilishi vya kuoneshaTenziVita ya AbushiriKiumbehaiBenki ya DuniaDubai (mji)TanganyikaArudhiAsili ya KiswahiliKibodiInjili ya MathayoMaudhuiKitenziWabena (Tanzania)Falme za KiarabuHistoria ya TanzaniaMishipa ya damuMaliasiliWanyakyusaSilabiKito (madini)LatitudoAfrika Mashariki 1800-1845SamakiHadithi za Mtume MuhammadKenyaMbuChuiUkooTamthiliaMkoa wa ShinyangaLingua frankaKichochoDesturiUfugaji wa kukuKarafuuMkoa wa IringaMkoa wa TangaPasaka ya KiyahudiAfrika ya MasharikiMisaHistoria ya IranMaambukizi ya njia za mkojoIdi AminMajiManchester CityMkoa wa LindiViunganishiDhahabuHistoria ya Kanisa KatolikiUbongoHoma ya matumboKitomeoBaraReal MadridVasco da GamaStadi za lughaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoLugha ya isharaZana za kilimoMjusi-kafiriUingerezaWayahudiBunge la TanzaniaUa🡆 More