Kombolela

Kombolela ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unashirikisha watoto watano na kuendelea. Hao wanatawanyika kwenda kujificha. Mmoja anashika doria kulinda kopo au mpira huku akiangaza macho kutafuta waliojificha.

Baada ya kuona wenzake kadhaa, ikitokea kwamba mmoja ambaye hajaonekana analipiga kopo anakuwa ameokoa walioonekana. Hivyo mlinzi huendelea hadi atakapowaona wote. Wa kwanza kuonekana ndiye anayefuatia kulinda.

Kombolela Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kombolela kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Afrika MasharikiMchezoWatoto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbeguAlomofuKiswahiliMalaikaIndonesiaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUundaji wa manenoAli Hassan MwinyiMkoa wa MbeyaFutariAunt EzekielKiumbehaiInstagramLugha ya taifaMwaka wa KanisaMwanza (mji)MziziMisimu (lugha)KalendaBikira MariaHadhiraHadithiWiki CommonsTanzania Breweries LimitedMkoa wa MtwaraJipuManchester CityNomino za pekeeWizara za Serikali ya TanzaniaWanyamweziUtenzi wa inkishafiNdegeNgonjeraMkoa wa TangaSilabiMichezo ya watotoWashambaaBurundiXXNguzo tano za UislamuJogooKondoo (kundinyota)Salamu MariaMivighaJinsiaKontuaGesi asiliaKondomu ya kikeMsalaba wa YesuBarabaraRamadan (mwezi)Korea KaskaziniKitenzi kikuu kisaidiziMjasiriamaliNdovuUpepoMaana ya maishaFutiBiasharaNyasa (ziwa)KanzuMalariaAntibiotikiUkatiliNafsiKuhaniVivumishi vya pekeeLahajaNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMandhariKiambishiHoma ya dengiUbatizoMkoa wa RukwaPeasiOsimosisi🡆 More