Kitausug (pia Kisulu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino, Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Watausug kwenye visiwa vya Palawan, Basilan na Kalimantan.
Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitausug imehesabiwa kuwa watu 900,000 nchini Ufilipino na watu 150,000 nchini Malaysia. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Indonesia (1981) Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitausug iko katika kundi la Kifilipino.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitausug kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kitausug, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.