Kipeo Cha Pili

Katika hisabati, kipeo cha pili (kwa Kiingereza : square) ni tokeo la kuzidisha namba mara namba hii.

Kipeo Cha Pili
Kipeo cha pili cha namba tano


Kwa mfano, 4 ni kipeo cha pili cha 2 kwa hivyo 2*2=4

9 ni kipeo cha pili cha 3 kwa hivyo 3*3 = 9

Kwa programu ya takwimu R

Ili mtafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :


> 5^2

[1] 25

Marejeo

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.


Tags:

HisabatiKiingerezaNamba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KabilaMkoa wa KataviOrodha ya Magavana wa TanganyikaMazingiraHedhiStephen WasiraOrodha ya nchi kufuatana na wakaziKunguniMkoa wa ManyaraBara ArabuMtakatifu PauloUnyenyekevuJomo KenyattaUajemiRwandaMrisho NgassaKamusiDamuKiumbehaiRashidi KawawaUjerumaniUsikuGeorDaviePijini na krioliMweziHektariUchawiMuundoMkoa wa KageraUbongoLahajaKamusi ya Kiswahili sanifuPink FloydJUkabailaKisononoTarakilishiHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya Marais wa TanzaniaMunguWikipedia ya KirusiHistoria ya Kanisa KatolikiBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaJangwaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMagavanaHerufiKiarabuViwakilishi vya -a unganifuLionel MessiLugha ya piliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMnjugu-maweViwakilishi vya pekeeUkraineMfumo katika sokaKalamuAli Hassan MwinyiSalaKadi za mialikoMkoa wa KigomaNgano (hadithi)KihusishiBaraza la mawaziri TanzaniaHerufi za KiarabuNomino za kawaidaVidonda vya tumboSayansiFasihiFMSerikaliVielezi vya mahaliKanisa Katoliki🡆 More