Kihaya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahaya.
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1,300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihaya iko katika kundi la E20.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kihaya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.