Karroo: Eneo kubwa la nusu jangwa nchini Afrika Kusini

Karoo (pia Karroo tamka Karu) ni eneo la nusu jangwa katika nyanda za juu za Afrika Kusini.

Inaenea kaskazini mwa mtelemko mkubwa ambako nyanda za juu zinaanza na kusini mwa Namibia. Hapa Karoo Ndogo, Karoo Kubwa na Karoo ya Juu zinatofautishwa pamoja na Karoo ya Sukulenti na Karoo ya Wanama. Ikiwa na eneo la kilomita 500,000 za mraba, Karoo inajumuisha karibu theluthi moja ya eneo la Afrika Kusini.

Karroo: Eneo kubwa la nusu jangwa nchini Afrika Kusini
Hifadhi ya Kitaifa ya Karoo
Karroo: Eneo kubwa la nusu jangwa nchini Afrika Kusini
Kanda mbili za Karoo kulingana na WWF

Hakuna ufafanuzi kamili wa Karoo kwa hiyo hakuna mipaka maalumu. Mfafanuzi hutegemea uso wa nchi, jiolojia, tabianchi na hasa kiasi kidogo cha mvua pamoja kutokea kwa baridi na joto kali. Miaka milioni iliyopita Karoo ilikuwa na mfumo wa ikolojia wa pekee inayoonekana hado leo katika visukuku vingi.

Hadi leo ni mazingira ya joto kali pamoja na jalidi. Mvua inanyesha kwa wastani milimita 50 hadi 250 kwa mwaka, lakini kwene milima kadhaa hufikia milimita 250 hadi 500. Maji hupatikana chini ya ardhi yanayopatikana kwa njia ya visima vilivyochimbwa.

Marejeo

Tags:

Afrika KusiniJangwaNamibiaNyanda za juu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Homa ya dengiIsimujamiiJackie ChanJumaWangoni27 MachiLigi ya Mabingwa AfrikaKamusi elezoNchiHistoria ya KiswahiliDini nchini TanzaniaMtandao wa kompyutaItikadiUkoloniPicha takatifuUongoziHistoria ya EthiopiaAlama ya barabaraniJinsiaShomari KapombeMji mkuuUandishi wa inshaIsraeli ya KaleWilaya ya KilindiBendera ya KenyaMnara wa BabeliKalendaInstagramEe Mungu Nguvu YetuKondoo (kundinyota)MziziSaida KaroliKalenda ya GregoriOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaFalsafaFid QFigoShetaniUkatiliMongoliaUchekiSimba S.C.Majira ya mvuaMkoa wa KageraMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoMapinduzi ya ZanzibarChawaMnururishoHektariAina za manenoMichael JacksonUbatizoFasihi andishiTungo kishaziUrusiRushwaMakabila ya IsraeliSinagogiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiPeasiUsiku wa PasakaUyahudiMadhara ya kuvuta sigaraHoma ya mafuaMizimuFutariHistoriaFonolojiaUkomboziSiasaNdege (mnyama)Chombo cha usafiriSheriaWaluguru🡆 More