Pwani Kapa

Kapa au wangwa (wengi: nyangwa) ni msitu unaokua katika maji ya chumvi kwenye fuko za bahari za kanda za tropiki na nusutropiki (kati ya latitudo za 25º kaskazini na 25º kusini).

Jumla ya maeneo ya kapa duniani kote ilikuwa km² 137,800 (maili za mradi 53,190) katika nchi na maeneo 118 mwaka 2000.

Pwani Kapa
Kapa nchini Panama

Miti inayokua ndani ya nyangwa, kama mikoko na mikandaa, inaweza kumudu maji yenye chumvi nyingi. Na mizizi yao inaunda matawi yanayomea juu ya matope na kupumua hewa, kwa sababu matope hayana oksijeni ya kutosha. Spishi nyingine zinabebwa juu ya mizizi kama magongo.

Spishi za miti ya kapa zinazotokea Afrika ya Mashariki ni:

Picha

Marejeo

Pwani Kapa  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

2000BahariKm²LatitudoMaji ya chumviMsituNusutropikiTropiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wanyama wa nyumbaniRose MhandoBunge la Umoja wa AfrikaWema SepetuFacebookOrodha ya Magavana wa TanganyikaKSautiKiarabuUyahudiHifadhi ya SerengetiFutari28 MachiMchezoMizimuBarua rasmiMatumizi ya lugha ya KiswahiliTungoUzazi wa mpangoMawasilianoMbeguDhahabuKadi za mialikoMmeaChe GuevaraJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaSamia Suluhu HassanRadiAmaniKifua kikuuUhifadhi wa fasihi simuliziVita Kuu ya Pili ya DuniaUfahamuHomoniFatma KarumeMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMrisho NgassaHali maadaBiblia ya KikristoChuraMkoa wa SongweMandhariVihisishiLugha ya taifaMwanzoInjili ya LukaVipaji vya Roho MtakatifuMaharagweOrodha ya Watakatifu WakristoMtawaHoma ya mafuaKiburiMsituAlama ya uakifishajiInjili ya MathayoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUundaji wa manenoOrodha ya vitabu vya BibliaUfaransaMahindiUtegemezi wa dawa za kulevyaChunusiPundaRamaniKamusiMjasiriamaliUtoaji mimbaHeshimaBustani ya wanyamaMbwana SamattaAina za ufahamuMfumo wa JuaKen WaliboraMkutano wa Berlin wa 1885🡆 More