KAST ni kifupi chake cha Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1995.
Kamusi hii inakusanya maneno ya kisayansi na ya kiteknolojia kwa utaratibu ufuatao:
Mwishowe kuna faharasa ya Kiingereza inayoweza kutumiwa kama kamusi ndogo ya Kiingereza-Kiswahili ya maneno ya kisayansi.
Kati ya kamusi za Kiswahili hii ni hatua kubwa mbele katika ukuzaji wa Kiswahili hata ikionyesha bado mapengo na kasoro mbalimbali.
Hali halisi kuna kiasi kikubwa cha maneno yaliyokusanywa hapa ambayo hayatumiwi tena.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.