Jike

Jike ni kiumbe yeyote yule ambaye ana jinsia ya kike.

Jike laweza kuwa Simba, Nyani, Sungura, Mbwa, Nyati, Mbweha na kadhalika, ila kwa binadamu huitwa mwanamke.

Jike
Alama ya Jinsia ya Kike

Hivyo basi kundi hili la viumbe huchangia kwa kiasi kikubwa sana kuzaliwa na kulea hasa viumbe vichanga kwa kuwanyonyesha na kuwahakikishia mahitaji mengine ya msingi kama vile kuwasafisha na kuwahakikishia ulinzi dhidi ya wanyama walanyama, kwa mfano jike la nyati hujitahidi kumlinda mwanaye wakati wote wawapo mbugani.

Jike Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jike kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuJinsiaKiumbehaiMbwaMbwehaMwanamkeNyaniSimbaSungura

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tiba asilia ya homoniIdi AminMamaMendeJakaya KikweteKwaresimaWaluguruBinadamuDaudi (Biblia)Afande SeleMarekaniKairoSean CombsDr. Ellie V.DUti wa mgongoMzabibuIndonesiaMbogaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mwaka wa Kanisa28 MachiSimbaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKiingerezaZakaKupatwa kwa JuaKidole cha kati cha kandoMwenyekitiSaharaRose MhandoWairaqwVita vya KageraVivumishi vya pekeeOrodha ya Watakatifu wa AfrikaNabii IsayaVipera vya semiAbrahamuMkoa wa ShinyangaMandhariKifo cha YesuUkooImaniUpinde wa mvuaMtandao wa kompyutaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMisemoMfumo katika sokaVitenzi vishiriki vipungufuUjasiriamaliLigi Kuu Uingereza (EPL)Amri KumiNzigeKitubioMtume PetroMr. BlueMkoa wa KigomaAir TanzaniaZabibuBarua rasmiUtegemezi wa dawa za kulevyaWiki FoundationKondoo (kundinyota)Orodha ya Watakatifu WakristoInstagramRedioMikoa ya TanzaniaFani (fasihi)ViunganishiNetiboliMaradhi ya zinaaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaRushwaYuda IskariotiHoma ya iniKukiKima (mnyama)ChadSaidi Ntibazonkiza🡆 More