Jean-Paul Sartre

Jean-Paul Sartre (21 Juni 1905 – 15 Aprili 1980) alikuwa mwandishi na mwanafalsafa kutoka nchi ya Ufaransa.

Alikuwa mtetezi mkuu wa falsafa ya "Existentialism". Falsafa hiyo inakiri kwamba hakuna mantiki ambayo mtu angeweza kuitumia kwa ajili ya maamuzi yake, lakini lazima kila mtu afanye uchaguzi yeye mwenyewe na atawajibika kwa matendo yake. Mwaka wa 1964 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi lakini aliikataa.

Jean-Paul Sartre

Jean-Paul Sartre

Jean-Paul Sartre Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Paul Sartre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

15 Aprili1905198021 JuniTuzo ya NobelUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ShambaHadhiraUtandawaziUandishi wa ripotiMitume na Manabii katika UislamuDhima ya fasihi katika maishaHekaya za AbunuwasiKoreshi MkuuItaliaNyangumiMsitu wa AmazonVita Kuu ya Kwanza ya DuniaOrodha ya vitabu vya BibliaAfrika KusiniAbrahamuUrusiKipaimaraShikamooMaji kujaa na kupwaMikoa ya TanzaniaKalenda ya KiislamuTiktokAshokaMamba (mnyama)WashambaaKichochoTarafaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMandhariSerikaliEe Mungu Nguvu YetuOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUkabailaMziziLugha ya taifaKilatiniKadi za mialikoSimba S.C.Kuhani mkuuSaddam HusseinJumuiya ya Afrika MasharikiDhahabuOrodha ya nchi za AfrikaMachweoHali maadaDNABikira MariaOrodha ya kampuni za TanzaniaMtandao wa kompyutaWamasoniMakabila ya IsraeliKombe la Dunia la FIFAOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaMusuliSteve MweusiShengUti wa mgongoHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoOrodha ya Marais wa MarekaniMfumo wa JuaJiniAfrika Mashariki 1800-1845Insha ya wasifuKanzuZuhura YunusOrodha ya Marais wa BurundiHistoria ya Kanisa KatolikiUaMnururishoZakaKuraniKiswahiliHistoria ya IsraelOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMkoa wa Dar es SalaamMnara wa Babeli🡆 More