I'm 'n Luv (Wit a Stripper) (ilitambulika kama I'm 'n Luv (Wit a Dancer) au kwa kifupi I'm 'n Luv) ni kibao kilichoimbwa na msanii wa R&B T-Pain akishirikiana na rapa Mike Jones.
Imetolewa mwishoni mwa mwaka wa 2005 (ingawa muziki wake wa video haukutolewa mpaka wiki ya 16 Januari 2006), na kushika #5 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kukifanya kuwa kibao cha pili cha T-Pain kuingia kwenye 10 bora, na cha kwanza kwa Mike Jones. Hiki ni kibao chenye mafanikio makubwa cha T-Pain mpaka sasa, kikafuatiwa na kibao chake kingine cha "Bartender", lakini kwa upande wa Mike Jones kimebaki kuwa hikihiki ndicho maarufu mpaka sasa.
“I'm 'n Luv (Wit a Stripper)” | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Single ya T-Pain akishirikiana na Mike Jones kutoka katika albamu ya Rappa Ternt Sanga | |||||||||||
Imetolewa | 13 Desemba 2005 | ||||||||||
Imerekodiwa | 2005 | ||||||||||
Aina | R&B, hip hop, country rap | ||||||||||
Urefu | 4:25 (Album Version) 4:00 (Radio/Video Edit w. Rap) 3:46 (No Rap Version) | ||||||||||
Studio | Jive | ||||||||||
Mtunzi | Faheem Najm | ||||||||||
Mtayarishaji | T-Pain | ||||||||||
Certification | 3x Platinum (RIAA) | ||||||||||
Mwenendo wa single za T-Pain akishirikiana na Mike Jones | |||||||||||
|
Chati (2006) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | 5 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 10 |
U.S. Billboard Pop 100 | 7 |
UK Singles Chart | - |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article I'm 'n Luv (Wit a Stripper), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.