Herman Wouk (amezaliwa 27 Mei 1915) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani.
Anajulikana hasa kwa riwaya zake zinazoeleza hali ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Caine Mutiny.
Herman Wouk | |
Amezaliwa | 27 Mei 1915 New York, Marekani |
---|---|
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Betty Sarah Brown (1945-2011) |
Watoto | Joseph Wouk, Nathanial Wouk |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herman Wouk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Herman Wouk, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.