Hamilton (Kimaori: Kirikiriroa) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 143,000 (2010).
Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 98 km². Mji ulinazishwa mwaka 1864.
Mji wa Hamilton (New Zealand) | |
Mkoa | Waikato |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 37°47′0″ - Longitudo: 175°17′0″E |
Eneo | 98 km² |
Wakazi | 143,000 (mji pekee) 203,400 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 1,459.2 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
Mahali | |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hamilton, New Zealand, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.