Hakim Ziyech: Mchezaji wa mpira wa miguu

Hakim Ziyech (kwa Kiarabu: حكيم زياش; alizaliwa 19 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa Chelsea F.C.

Hakim Ziyech: Mchezaji wa mpira wa miguu
Hakim Ziyech (2020)

Mnamo 2019, alichaguliwa kama mmoja wa wachezaji bora 20 katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya (UEFA) kwa msimu wa 2018-19. Anajulikana kwa kufunga kwake, kukimbiza mpira, kupiga pasi ndefu, na kupiga faulo nzuri.

Ziyech alianza kazi yake ya kitaaluma katika klabu ya Uholanzi Heerenveen mwaka 2012. Msimu wa 2015-16 ulikuwa mkubwa sana kwa Ziyech, kwa kuwa alifunga mabao 17 na kutoa msaada 10 katika ligi ile. Mnamo mwaka 2016, Ziyech alijiunga na Ajax kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya milioni 11.

Ziyech alistahili kuchezea timu ya taifa ya Uholanzi au Moroko. Mwaka 2015, alithibitisha kuwa ataiwakilisha Morocco katika ngazi ya kimataifa. Alichaguliwa katika kikosi cha wachezaji 23 katika Kombe la Dunia la 2018, pia ameiwakilisha nchi yake katika Afcon 2019.

Hakim Ziyech: Mchezaji wa mpira wa miguu Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hakim Ziyech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19 Machi1993Chelsea F.C.KiarabuKiungo (michezo)MchezajiMorokoMshambuliajiSokaTimu ya taifaUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SarufiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKamusi elezoUbaleheMariooMamba (mnyama)WanilambaNguruweIsha RamadhaniKigoma-UjijiDhanaSitiariUzazi wa mpango kwa njia asiliaAnwaniVivumishiKifaruSabatoUrusiSinagogiOrodha ya Marais wa ZanzibarNyanda za Juu za Kusini TanzaniaSamakiKubaWanyaturuPiramidi za GizaUenezi wa KiswahiliWanyamboMkoa wa SingidaSisimiziKilimanjaro (volkeno)ChumaTabainiLucky DubeImaniPapa (samaki)RushwaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaTundaKiboko (mnyama)MajiUsawa (hisabati)Chumba cha Mtoano (2010)Mange KimambiRashidi KawawaSadakaHistoria ya WapareWaluguruWataru EndoMadawa ya kulevyaMdalasiniOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKapteniFalsafaIniKaraniNathariOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaVisakaleStafeliKidoleMichael JacksonMzabibuDaktariUkuaji wa binadamuMapambano ya uhuru TanganyikaLughaMkoa wa Dar es SalaamTanzania Breweries LimitedDully SykesMwaka wa KanisaMkoa wa PwaniSokoMkoa wa MtwaraHifadhi ya NgorongoroOrodha ya Magavana wa TanganyikaMitume wa YesuHistoria ya Zanzibar🡆 More