Jimbo La Gombe: Jimbo nchini Nigeria

Jimbo la Gombe liko kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.

Jimbo la Gombe
Jina la Utani la Jimbo: Mkufu katika Savannah
Mahali lililoko
Eneo lilokoGombe State in Nigeria
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Mohammed Danjuma Goje (PDP)
Tarehi lilipoanzishwa 1 Oktoba 1996
Mji mkuu Gombe
Eneo 18,768 km²
Kuorodheshwa-21
Idadi ya Watu 2006 makadirio Limeorodheshwa nambari 33
2,353,000
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per Capita
2007 (kadirio)
$ 2.50 bilioni
$1,036
ISO 3166-2 NG-GO
Jimbo La Gombe: Maeneo ya utawala, Takwimu za watu, Marejeo
Mahali pa Gombe katika Nigeria

Jimbo la Gombe, ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV

Maeneo ya utawala

Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:

  • Akko
  • Balanga
  • Billiri
  • Dukku
  • Funakaye
  • Gombe
  • Kaltungo
  • Kwami
  • Nafada
  • Shongom
  • Yamaltu/Deba

Takwimu za watu

Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani. [1]

Marejeo

Viungo vya nje


 
Majimbo ya Nigeria
Jimbo La Gombe: Maeneo ya utawala, Takwimu za watu, Marejeo 
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara

10°15′N 11°10′E / 10.250°N 11.167°E / 10.250; 11.167

Jimbo La Gombe: Maeneo ya utawala, Takwimu za watu, Marejeo  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Gombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Jimbo La Gombe Maeneo ya utawalaJimbo La Gombe Takwimu za watuJimbo La Gombe MarejeoJimbo La Gombe Viungo vya njeJimbo La GombeGombeKaskaziniMajimboMji mkuuNigeria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KilatiniMwakaKumaUpinde wa mvuaSheriaOrodha ya milima ya TanzaniaOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaZuchuUnju bin UnuqLionel MessiMisemoTundaAdolf HitlerBaruaKoffi OlomideOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaNdegeUlumbiUwanja wa Taifa (Tanzania)KitenziUandishiTreniUislamuMofolojia2 AgostiKairoIdi AminSarufiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKata za Mkoa wa Dar es SalaamVichekeshoWanyakyusaDhima ya fasihi katika maishaXXTarakilishiKontuaHistoria ya EthiopiaMkoa wa MtwaraAbrahamuTanganyikaHaikuAngahewaMahakama ya TanzaniaWamasoniGesi asiliaRisalaUbuntuViwakilishiUkomboziMuda sanifu wa duniaMgawanyo wa AfrikaNetiboliKiungo (michezo)WaanglikanaAustraliaMkoa wa RuvumaMbuniPicha takatifuMsengeMsalabaSintaksiMkoa wa DodomaWayahudiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarTelevisheniBurundiIsaHistoria ya KiswahiliYuda IskariotiHali maadaMwanamkeTeknolojia ya habariFid QPonografiaUa🡆 More