Jimbo Kano

Kano ni jimbo la kujitawala katika kaskazini ya Nigeria.

Mji mkuu ni Kano.

Jimbo Kano
Jimbo la Kano, Nigeria
Jimbo Kano
Jimbo la Kano

Jimbo la Kano limepakana na majimbo ya Katsina, Jigawa, Kaduna na Bauchi. Jimbo lilianzishwa tar. 27 Mei 1967. Gavana wa kwanza alikuwa Abdu Bako kuanzia 1967 hadi Julai 1975. Ibrahim Shekarau amekuwa gavana tangu 29 Mei 2003.

Eneo la jimbo ni 20,131 km², idadi ya wakazi 10,077,638 (mwaka 2005). Msongamano wa watu hufikia wakazi 501 kwa kilimita ya mraba.

Jimbo lina maeneo ya utawala 44 ("Local Government Areas"). Haya ni: Ajingi, Albasu, Bagwai, Bebeji, Bichi, Bunkere, Dala, Dambatta, Dawakin-Kudu, Dawakin-Tofa, Doguwa, Fagge, Gabasawa, Garko, Garum-Mallam, Gaya, Gazewa, Gwale, Gwarzo, Kabo, Kano Municipal, Karaye, Kibiya, Kiru, Kumbotso, Kunchi, Kura, Madobi, Makoda, Minjibir, Nassarawa, Rano, Rimin-Gado, Rogo, Shanono, Sumaila, Takai, Tarauni, Tofa, Tsanyawa, Tudun-Wada, Ungongo, Warawa na Wudil.

Kano ni kitovu cha biashara na uzalishaji mali nchini. Asilimia ya umwagiliaji wa mashamba inazidi majimbo yote na kuruhusu kilimo mwaka wote.


 
Majimbo ya Nigeria
Jimbo Kano
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Jimbo Kano Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kano (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JimboKanoKaskaziniMji mkuuNigeria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMeta PlatformsArsenal FCFasihi andishiRihannaAsiaAlomofuKiambishiThe MizZakaLigi ya Mabingwa AfrikaNdege (mnyama)TungoNenoKaramu ya mwishoUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereNyati wa AfrikaTupac ShakurKisaweWanyakyusaCristiano RonaldoMarekaniHadhiraOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKifo cha YesuUkristo barani AfrikaKiboko (mnyama)NdovuMbiu ya PasakaDhima ya fasihi katika maishaMariooUtoaji mimbaIntanetiKunguniKitenzi kikuuMkanda wa jeshiPasakaJustin BieberIsimuSabatoMsumbijiRose MhandoMtende (mti)Mkoa wa MwanzaYuda IskariotiAfande SeleKuhani mkuuNamba ya mnyamaHedhiVivumishi vya pekeeIndonesiaNimoniaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaMkoa wa MaraMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNomino za pekeeMbeguKuraniMaudhuiMwenyekitiViwakilishi vya urejeshiHijabuSikukuuFisiWilliam RutoMtaalaMsitu wa AmazonUajemiMagonjwa ya machoUti wa mgongoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaNguzo tano za UislamuTajikistan🡆 More