Gianluigi Buffon

Gianluigi Buffon (alizaliwa 28 Januari 1978) ni mchezaji wa mpira wa miguu akicheza katika nafasi ya golikipa.

Gianluigi Buffon
Gianluigi Buffon

Alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Italia hadi alipostaafu kuitumikia timu hiyo mwaka 2017.

Gianluigi Buffon ama 'Gigi' alitwaa tuzo mbalimbali za kimataifa na za ligi kuu nchini Italia. Ameshinda tuzo ya golikipa bora mara nne na tuzo ya golikipa bora wa michuano ya UEFA.

Timu alizowahi kuchezea ni pamoja na Parma ya hukohuko nchini Italia pamoja na Juventus F.C., pia Paris Saint-Germain F.C. (PSG) ya Ufaransa.

Gianluigi Buffon Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gianluigi Buffon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

197828 JanuariGolikipaMchezajiMpira wa miguu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JipuIniKuhaniJiniMohammed Gulam DewjiMshororoHistoria ya uandishi wa QuraniVitenzi vishiriki vipungufuLilithOrodha ya Marais wa MarekaniJuxJackie ChanAzimio la ArushaTajikistanBahari ya HindiKalenda ya KiyahudiSinagogiNdoaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaRita wa CasciaWairaqwOrodha ya Marais wa ZanzibarKitenzi kikuuAlama ya uakifishajiNetiboliMnyamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya milima mirefu dunianiKiwakilishi nafsiMadhara ya kuvuta sigaraMazungumzoMajiMusaKilatiniMwenyekitiMfumo katika sokaFasihi simuliziUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiManchester CityMoyoOrodha ya wanamuziki wa AfrikaRamadan (mwezi)Mkoa wa RukwaTashdidiEthiopiaMuhammadNenoMapenziClatous ChamaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUkristo barani AfrikaSemiTungo kishaziMethaliTanzania Breweries LimitedChakulaAsili ya KiswahiliHistoria ya ZanzibarNembo ya TanzaniaMazingiraFonetikiUtapiamloMapambano ya uhuru TanganyikaUsawa (hisabati)Utenzi wa inkishafiNzigeVita vya KageraUchimbaji wa madini nchini TanzaniaHadithi za Mtume MuhammadRamaniMashariki ya KatiNyati wa AfrikaRushwa🡆 More