Dominiko Cam

Dominiko Cam (?-1859) alikuwa padri wa Vietnam aliyefanya utume miaka mingi kwa kuhatarisha uhai wake na hata baada ya kufungwa gerezani.

Kisha kuhukumiwa na kaisari T Duc adhabu ya kifo, alikumbatia msalaba wa Bwana aliokuwa amekataa katakata kuukanyaga.

Ni kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19 (16251886).

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lạc na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 11 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All God's Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.

Viungo vya nje

Dominiko Cam 
WikiMedia Commons
Dominiko Cam  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Dominiko Cam Tazama piaDominiko Cam TanbihiDominiko Cam MarejeoDominiko Cam Viungo vya njeDominiko Cam1859Adhabu ya kifoGerezaKaizariMsalabaMsalaba wa YesuPadriUhaiUtumeVietnam

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BenderaBarua rasmiMashuke (kundinyota)JinsiaIsha RamadhaniUundaji wa manenoWaziriSahara ya MagharibiNguvaFacebookVivumishi vya sifaSanaa za maoneshoWamasaiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMrisho MpotoWataru EndoHaki za watotoMlipuko wa virusi vya corona 2019-20HisiaJipuMdalasiniBBC NewsHistoria ya AfrikaMadiniJumapiliUfahamuShinaAustraliaVietnamRayvannyUnyenyekevuKinyongaTarakilishiVitenzi vishiriki vipungufuUkimwiKumamoto, KumamotoVieleziUandishi wa barua ya simuMkoa wa RuvumaMbooAmaniNg'ombeWilaya ya IlalaPiramidi za GizaWajitaVidonda vya tumboDNAKiwakilishi nafsiUenezi wa KiswahiliNadhariaMkatabaNafsiKombe la Dunia la FIFAMmomonyokoKiongoziMange KimambiVita ya Maji MajiBabeliKukuSexRedioMkurugenziFigoNguruweMaambukizi ya njia za mkojoHalmashauriNomino za kawaidaIdi AminOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUgirikiUNICEFApple Inc.Rejista🡆 More