Commonitorium

Commonitorium (jina hilo la Kilatini lilitumiwa naye kudokeza kwamba aliandika aweze kujikumbusha: ndiyo maana ya kichwa jicho) ni kitabu maarufu kilichoandikwa na Vinsenti wa Lerins mwaka 434 hivi, yaani miaka 3 baada ya Mtaguso wa Efeso.

Huyo mmonaki padri wa Galia (leo Ufaransa), akitaka kufanya imani ya Wakristo istawi ndani mwao, alikiandika akiwa katika monasteri ya Lérins kwenye kisiwa Saint-Honorat, na akitumia jina bandia la Peregrinus alibainisha vigezo vya kutofautisha ukweli wa imani sahihi uongo uliofichama katika uzushi.

Sawa na mtaguso mkuu huo, Vincent alitetea matumizi ya jina Mama wa Mungu kwa Bikira Maria, akipinga hoja za Nestori wa Konstantinopoli.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Commonitorium  Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Commonitorium kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Commonitorium Tazama piaCommonitorium TanbihiCommonitorium MarejeoCommonitorium Viungo vya njeCommonitorium434JinaKichwaKilatiniKitabuMtaguso wa EfesoMwakaVincent wa Lerins

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AlasiriSayari ya TisaJipuSumbawanga (mji)Historia ya uandishi wa QuraniMahariVivumishi vya idadiMtakatifu PauloWilaya za TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMsokoto wa watoto wachangaMaliasiliMsitu wa AmazonThamaniUti wa mgongoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMadawa ya kulevyaPapaBawasiriOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMwislamuNguvuFMInjili ya LukaSintaksiUshirikianoShabaniAmfibiaRwandaMitume wa YesuDaniel Arap MoiMikoa ya TanzaniaNominoUandishi wa inshaKatekisimu ya Kanisa KatolikiNyegereEthiopiaKiongoziMamaliaNgw'anamalundi (Mwanamalundi)HadithiPesaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliNadhariaMaambukizi ya njia za mkojoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaNgeli za nominoMuhammadRamadhaniNairobiDiplomasiaDaktariMaishaDiraUhuru KenyattaVitenzi vishirikishi vikamilifuMshororoPonografiaVidonge vya majiraWanyama wa nyumbaniC13Saida KaroliYesuShinikizo la juu la damuUtoaji mimbaKiimboJangwaWangoniUnyevuangaMasharikiMfumo katika sokaNamibiaKiburiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaRaila Odinga🡆 More