Charles Pedersen

Charles John Pedersen (3 Oktoba 1904 – 26 Oktoba 1989) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani akiwa amezaliwa nchini Korea na kulelewa nchini Japani.

Babake alikuwa Mnorwei na mamake Mjapani. Jina lake la Kijapani lilikuwa Yoshio. Mwaka wa 1922 alihamia nchini Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa etha maalumu. Mwaka wa 1987, pamoja na Donald Cram na Jean-Marie Lehn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Charles Pedersen


Charles Pedersen Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Pedersen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19041987198926 Oktoba3 OktobaDonald CramJapaniJean-Marie LehnKoreaMarekaniNorweiTuzo ya Nobel ya Kemia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMamba (mnyama)Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaViwakilishi vya sifaOrodha ya Marais wa UgandaKrioliBiasharaMwanzo (Biblia)Apple Inc.BabeliMishipa ya damuWapareFasihiMgomba (mmea)Kiwakilishi nafsiMkoa wa TaboraShinikizo la juu la damuTamthiliaVivumishi vya urejeshiHeshimaWikipediaNominoJipuFran BentleyUnyanyasaji wa kijinsiaIstilahiSemiKamusiFasihi andishiInjili ya MathayoMwanza (mji)NdiziWarakaTafsiriJoseph Sinde WariobaMlipuko wa virusi vya corona 2019-20Mtume PetroMkoa wa MbeyaMaigizoShengNahauTundaBusaraBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMjusi-kafiriIsimuShikamooJumuiya ya MadolaHadhiraSinagogiJinsiaClatous ChamaUrusiMuungano wa Madola ya AfrikaMkoa wa MorogoroBiashara ya watumwaNyegeVielezi vya mahaliTenziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaChristina ShushoUaHarmonizeKisiwaNadhariaNdovuKanga (ndege)Majira ya mvuaMtoni (Temeke)Lionel MessiVitenzi vishiriki vipungufuNyegereDiamond PlatnumzMapinduzi ya ZanzibarSinza🡆 More