Chanjo Ya Homa Ya Uti Wa Mgongo Inayosababishwa Na Kuvu

Chanjo ya homa ya uti wa mgongo inayosababishwa na kuvu hurejelea chanjo yoyote ambayo hutumika kuzuia maambukizi ya Neisseria meningitidis.

Toleo mbalimbali ni faafu dhidi ya baadhi ya au aina zote zifuatazo za homa ya uti wa mgongo inayosababishwa na kuvu: A, C, W135, na Y. Chanjo hizo hufanya kazi kwa kati ya 85% na 100% kwa angalau miaka miwili. Husababisha upungufu wa homa ya uti wa mgongo na sepsis miongoni mwa idadi ya watu wanazozitumia sana. Hutolewa ama kwa kudungwa sindano kwenye misuli au chini ya ngozi tu.

Shirika la Afya Duniani linapendekeza kwamba nchi zilizo na kiwango cha wastani au cha juu cha ugonjwa huo au na maambukizi ya mara kwa mara zinafaa kutoa chanjo kila mara. Katika nchi zenye hatari ya chini ya ugonjwa huo, wanapendekeza kwamba makundi yenye hatari ya juu yanafaa kupewa chanjo. Katika maeneo yenye hatari ya homa ya uti wa mgongo, juhudi za kuwapa chanjo watu wote kati ya umri wa mwaka mmoja na miaka thelathini wenye homa ya uti wa mgongo A zinaendelea. Katika Kanada na Marekani chanjo zinazofanya kazi kwa aina zote nne zinapendekezwa mara kwa mara kwa vijana na wengine walio kwenye hatari ya juu. Zinahitajika pia kwa watu wanaosafiri kwenda Mecca kwa ajili ya Hajj.

Usalama kwa ujumla ni nzuri. Wengine huwa na uchungu na wekundu katika sehemu zilizodungwa sindano. Matumizi wakati wa ujauzito ni salama. Athari kali za mzio hutokea kwa chini ya kiwango kimoja kwa viwango milioni moja.

Chanjo ya kwanza ya homa ya uti wa mgongo inayosababishwa na kuvu ilibuniwa miaka ya 1970. Ipo kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika La Afya Duniani, dawa muhimu zaidi inayohitajika kwenye mfumo wa afya. Bei ya ununuzi wa jumla ni kati ya dola 3.23 na dola 10.77 kwa kila kipimo mnamo 2014. Gharama yake Marekani ni kati ya dola 100 na 200.

Tanbihi

Chanjo Ya Homa Ya Uti Wa Mgongo Inayosababishwa Na Kuvu  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chanjo ya homa ya uti wa mgongo inayosababishwa na kuvu kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

%ChanjoHoma ya uti wa mgongoKuvuMaambukiziMisuliNgoziSindano

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dar es SalaamMgawanyo wa AfrikaKusiniNidhamuMfumo katika sokaMjombaHekayaSilabiUsafi wa mazingiraUnyenyekevuHarrison George MwakyembeMwanzo (Biblia)Mitume na Manabii katika UislamuSimbaChadWembeMaambukizi ya njia za mkojoNandyOrodha ya Marais wa TanzaniaMakkaSiafuSanaa za maoneshoBaraza la mawaziri TanzaniaThabitiWilaya ya KinondoniTaasisi ya Taaluma za KiswahiliKamusi ya Kiswahili - KiingerezaLugha za KibantuTumainiMajiUzalendoEdward SokoineFutariSautiMkoa wa TaboraMichezoFonolojiaWanyamweziUtoaji mimbaSitiariJiniOrodha ya Marais wa MarekaniMbuga wa safariVirusi vya UKIMWIBarua pepeHistoria ya UislamuNomino za jumlaDuniaRushwaIsraelBaraVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUenezi wa KiswahiliUfufuko wa YesuNyegereMandhariOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaHakiJumaUislamuInsha ya wasifuTreniNgome ya YesuUgandaKisononoMafumbo (semi)Salama JabirZuhuraAfrika ya Mashariki ya KijerumaniTiba asilia ya homoniUingerezaJangwaAthari za muda mrefu za pombeWachaggaTausiKunguruUwanja wa Taifa (Tanzania)🡆 More