Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Kuvu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Kuvu (jina la kisayansi kutoka Kilatini: Fungi) ni kiumbehai ambacho si mmea wala mnyama. Uainishaji wa kisayansi unavipanga katika himaya ya pekee ndani... |
Kuvu kiuawadudu ni kuvu inayokua kama kimelea ndani ya kiwiliwili cha mdudu na kumwua mwishowe. Nyingine ni vimelea vya faradhi nyingine ni vimelea vya... |
Metarhizium (Kusanyiko Kuvu viuawadudu) Metarhizium ni jenasi ya kuvu entomopathojeni (kuvu zisababishazo magonjwa kwa wadudu) katika familia Clavicipitaceae. Tangu kuwadia kwa mihtasari ya jenetiki... |
kabisa. Spishi nyingi ni mm 1 tu au ndogo zaidi na hula kuvu na spora zao (aina za vijimbegu vya kuvu) au hufyonza maji ya seli za mimea. Spishi nyingine... |
Beauveria (Kusanyiko Kuvu viuawadudu) Beauveria ni jenasi ya kuvu entomopathojeni (kuvu zisababishazo magonjwa kwa wadudu) katika familia Cordycipitaceae. Kuvu hizi hazina jinsia na ni anamorfi... |
Mikolojia ni tawi la biolojia linalohusika na uchunguzi wa kuvu, ikiwa ni pamoja na maumbile na biokemia, uainishaji wao na matumizi yao kwa binadamu kama... |
Chanjo ya homa ya uti wa mgongo inayosababishwa na kuvu hurejelea chanjo yoyote ambayo hutumika kuzuia maambukizi ya Neisseria meningitidis. Toleo mbalimbali... |
Kwa kundi la muziki nchini Kenya tazama Uyoga (bendi) Uyoga ni sehemu ya kuvu inayotokea juu ya ardhi na kukuza vibufu vinavyofanana na mbegu ya mimea... |
Vimetameta au vimulimuli ni lava wa visubi-kuvu wa familia Keroplatidae wanaotoa nuru (bio-uangazaji). Majina hayo yanaweza kutumiwa pia kutaja spishi... |
gome la miti. Wakifugwa hula matitiri waliokufa, kuvu-mizizi na unga wa uyoga na msituni hula yumkini kuvu na maada ya mimea iliyokufa. Acerentomon sp. Spishi... |
Kuna makundi mawili: mbawakawa wa familia mbalimbali za Elateroidea (Kimetameta (mbawakawa)) visubi-kuvu wa familia Keroplatidae (Kimetameta (kisubi))... |
(UDSM). Amejikita zaidi katika utafiti za bioteknolojia ya kuvu haswa maeneo ya uoto wa miombo, kuvu wa mchwa na sehemu za misitu. Tibuhwa ni mkurugenzi wa... |
miaka 13 (novemba 1989 hadi desemba 2002) mradi umetambulisha tenganisho la kuvu Metarhizium ambayo ina maambukizo mazuri dhidi nzige, na umepitia hatua zote... |
uasiliani, labda pamoja na vifundiro vya metaboli vyao, k.m. bakteria, virusi, kuvu na protozoa. Nematodi hushirikishwa katika orodha hii ijapokuwa si vidubini... |
kisayansi ni animalia na hutoka katika Kilatini) ni viumbehai wasio mmea, kuvu, bakteria, protista au arkea. Vile vile tunaweza kusema wanyama ni viumbehai... |
kwa sababu wanafyunza utomvu pia na kuvu nyeusi inakua juu ya mana wanayochoza na inayoanguka kwenye majani. Kuvu hii inazuia majani yasifanye usanidimwanga... |
barafu inayeyuka. Uoto wote katika sehemu hizi ni manyasi, kuvumwani na kuvu. Kwenye ardhi ya aina hii hakuna miti, au kama iko inatokea kwa umbo la vichaka... |
vyao vina vitawi. Hawana macho wala moyo. Huonekana katika udongo na inawezekana kama hula kuvu na dutu ya viumbehai. Jongoo miguu-michache wa Huxley... |
Kwa hivyo mana nyingi inaanguka kwenye majani na hapa kuvu nyeusi inaanza kukua juu yake. Kuvu hii inazuia majani yasifanye usanidimwanga na mmea unanywea... |
vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu. Hata kama kwa Kiingereza majongoo huitwa millipedes (miguu elfu) na tandu... |