Bongo Star Search ni kipindi cha televisheni cha mashindano ya kutafuta waimbaji bora chipukizi nchini Tanzania.
Mashindano hayo yalianzishwa na Rita Paulsen na yanaendeshwa na kampuni ya Benchmark Production. Ni mashindano yenye tija na hupendwa sana na wasanii chipukizi.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bongo Star Search kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bongo Star Search, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.