Alberiko Wa Citeaux

Alberiko wa Cîteaux, O.Cist.

Alberiko Wa Citeaux
Bikira Maria akimpa Alberiko kanzu ya Wasitoo.

Ni kati ya waanzilishi wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Ndiye aliyepata kutoka kwa Papa Paskali II hati Desiderium quod iliyoupatia urekebisho huo uhalali wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Januari, pengine pamoja na wenzake Roberto wa Molesme na Stefano Harding.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Attwater, Donald and John, Catherine Rachel John, 1993:The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4

Viungo vya nje

Alberiko Wa Citeaux 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Alberiko Wa Citeaux  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Alberiko Wa Citeaux Tazama piaAlberiko Wa Citeaux TanbihiAlberiko Wa Citeaux MarejeoAlberiko Wa Citeaux Viungo vya njeAlberiko Wa Citeaux110926 JanuariAbatiCiteauxJuhudiKanuniMkaapwekeMmonakiMonasteriO.Cist.UfaransaUpendo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WairaqwUpinde wa mvuaHoma ya iniMaudhuiTupac ShakurMuzikiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoRitifaaKitunguuTafsiriAbby ChamsHaki za watotoNyokaLucky DubeBaraUfugaji wa kukuFutiUtandawaziMashuke (kundinyota)MmeaHistoria ya TanzaniaVielezi vya mahaliMeena AllyTunu PindaHistoriaLigi Kuu Uingereza (EPL)Nomino za wingiDodoma (mji)MofimuAC MilanHistoria ya WapareTajikistanTamthiliaAlasiriRoho MtakatifuMkoa wa NjombeZiwa ViktoriaSteven KanumbaTelevisheniDhahabuHistoria ya KiswahiliDNAMaajabu ya duniaWayao (Tanzania)Vivumishi vya -a unganifuAngahewaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereBinamuMafarisayoMalaikaMkoa wa RuvumaMivighaKuhani mkuuLugha ya taifaOrodha ya Marais wa TanzaniaKisasiliUzazi wa mpangoMekatilili Wa MenzaOrodha ya milima mirefu dunianiMwakaYoweri Kaguta MuseveniMapinduzi ya ZanzibarOrodha ya Watakatifu WakristoNamba za simu TanzaniaDamuAdolf HitlerUandishiAntibiotikiKaabaUislamuRamaniHaitiChakulaKitenzi kikuu kisaidiziSerikaliSenegal🡆 More