Kikabardia ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Syria, Iraq na Yordani inayozungumzwa na Wakabardia.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikabardia nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 516,000. Pia mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji milioni moja nchini Uturuki, 56,000 nchini Yordani na 39,000 nchini Syria. Idadi ya wasemaji nchini Iraq haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabardia iko katika kundi la Kicircassi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikabardia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikabardia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.