Xabi Alonso

Xabier Xabi Alonso Olano (alizaliwa 25 Novemba 1981) ni mchezaji wa zamani wa Hispania ambaye alicheza kama kiungo wa kati.

Xabi Alonso
Xabi Alonso

Alonso alianza kazi yake katika Real Sociedad, timu kuu ya jimbo lake la nyumbani Gipuzkoa. Baada ya muda mfupi wa mkopo huko Eibar, alichaguliwa kuwa nahodha wa timu ya Real Socieded na meneja wa wakati huo alikuwa John Toshack. Alifanikiwa katika majukumu yake, akichukua klabu yake mahali pa pili katika msimu wa 2002-03. Alihamia Liverpool mnamo Agosti 2004 kwa £ 10.5 milioni na alishinda Ligi ya Mabingwa ya UEFA msimu wake wa kwanza, chini ya meneja wa Rafael Benítez, akisawazisha bao dhidi ya Milan. Msimu uliofuata, alishinda Kombe la FA na FA Community Shield.

Xabi Alonso Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Xabi Alonso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

198125 NovembaHispaniaMchezaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Namba tasaTafsiriUbongoAlizetiMatumizi ya lugha ya KiswahiliMashuke (kundinyota)ImaniVisakaleRisalaOrodha ya Magavana wa TanganyikaRaiaAla ya muzikiAsidiSimba S.C.Wilaya ya Nzega VijijiniOrodha ya majimbo ya MarekaniHafidh AmeirUingerezaRoho MtakatifuShangaziUgonjwaMfumo katika sokaRupiaBarua pepeKisimaMajina ya Yesu katika Agano JipyaWimboWahadzabeWameru (Tanzania)NandyMkoa wa MbeyaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUsanifu wa ndaniZabibuRedioMeno ya plastikiNileNomino za pekeePasakaWikipediaPapa (samaki)WarakaSheriaOrodha ya vitabu vya BibliaMpira wa mkonoMkopo (fedha)MazungumzoNyati wa AfrikaRohoMapambano kati ya Israeli na PalestinaMkanda wa jeshiKipindupinduUlayaUundaji wa manenoTanganyika (maana)Mbadili jinsiaTumbakuWanyaturuSikukuu za KenyaVieleziKilimanjaro (volkeno)Rupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniSimuWingu (mtandao)VichekeshoGeorDavieBidiiMkoa wa NjombeKalenda ya KiislamuRufiji (mto)DuniaWahayaDamuSerikaliKigoma-UjijiVivumishi vya kuonesha🡆 More