Vergilio

Publius Vergilius Maro (jina limefupishwa pia kama Virgil au Vergil), (15 Oktoba 70 KK - 21 Septemba 19 KK) alikuwa mwandishi na mshairi mashuhuri wa Roma ya Kale.

Aliandika kwa lugha ya Kilatini.

Vergilio
Vergilio

Vergilio alizaliwa Italia ya Kaskazini akasoma mjini Roma alipoanza kutunga shairi zake za kwanza akaendelea kuishi Italia ya Kusini karibu na Napoli.

Wakati wa maisha yake ulikuwa kipindi cha utawala wa Julius Caesar, vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya Caesar na mwanzo wa utawala wa Augusto.

Mashairi ya Vergilio yanahusu maisha ya kila siku pamoja habari za kihistoria hasa masimulizi juu ya mashujaa wa kale.

Vergilio Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vergilio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

15 Oktoba19 KK21 Septemba70 KKKilatiniRoma ya Kale

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mobutu Sese SekoUnyagoIndonesiaMaktabaAina za manenoAlfabetiMwanzoOrodha ya Marais wa UgandaKiwakilishi nafsiMazungumzoMadhara ya kuvuta sigaraVasco da GamaUandishiLionel MessiKiraiMkoa wa PwaniUingerezaNomino za pekeeUtumbo mpanaMiundombinuLady Jay DeeLeonard MbotelaMkoa wa SongweUundaji wa manenoSumakuNafsiHaki za binadamuHisiaJokofuMzabibuRushwaTarbiaUislamuNileWaziriSah'lomonKifaruUbadilishaji msimboVielezi vya idadiMusaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAlama ya barabaraniKanga (ndege)MapenziMajigamboUturukiMange KimambiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaViwakilishi vya pekeeStephane Aziz KiTanganyika African National UnionMasharikiBruneiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKalenda ya KiislamuKongoshoKisimaRuge MutahabaWameru (Tanzania)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaOrodha ya majimbo ya MarekaniTendo la ndoaSheriaSimuJinaUandishi wa inshaMlima wa MezaInsha ya wasifuKipindupinduRamaniNguruwe-kayaMapambano ya uhuru TanganyikaMatumizi ya Lugha🡆 More