Ukatili wa kiuchumi (kwa Kiingereza Economic abuse) ni kitendo cha kikatili ambacho mtu mmoja anaweza kumiliki kwa nguvu vyanzo vya uchumi vya mtu mwingine na kumzuia asijiendeleze kuchumi au kutumia nguvu dhidi ya mtu mwingine na kumuathiri kiuchumi.
Ukatili huo unajulikana pia kama ukatili wa kifedha; kitendo hicho ni kinyume na sheria, na hufanyika kwa jinsia zote mbili.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukatili wa kiuchumi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ukatili wa kiuchumi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.