Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka 2016 ulikuwa wa 58 katika historia ya Marekani.
Ulifanywa Jumanne tarehe 8 Novemba.
Upande wa "Republican Party", mgombea Donald Trump (pamoja na kaimu wake Mike Pence) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Hillary Clinton (pamoja na kaimu wake Tim Kaine).
Wachaguzi wakuu walipiga kura tarehe 19 Desemba na kuthibitisha nafasi ya Trump kama Rais wa Marekani kwa miaka 2017-2020. Trump alipata wapiga kura 304, na Clinton 227, wakati wachaguzi wakuu wengine saba walikuwa upande wa watu wasiogombea.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2016, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.