Tuzo Za Chaguo La Watoto Za Nickelodeon

Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon '(pia hujulikana kama KCAs au Chaguo la watoto) ni onyesho la sherehe ya watoto ya Marekani ya mwaka ambayo ilianzishwa na Nickelodeon.

Kwa kawaida hufanyika Jumamosi usiku mwishoni mwa Machi au mwanzoni mwa Aprili. Washindi wanapokea sanamu yenye rangi ya machungwa.

Tuzo Za Chaguo La Watoto Za Nickelodeon
Jonas Brothers wakitumbuiza kwenye onyesho la mwaka 2009

Tamasha linaonyesha wageni mashuhuri na wanamuziki. Tangu 2002, foleni za mchango zimeingizwa kwenye onyesho. KCA pia zinafanya burudani ya moja kwa moja.

Vipindi vya Spongebob SquarePants vimeshinda tuzo nyingi za KCA, jumla za tuzo ni kumi na sita mfururizo. Binafsi, Selena Gomez ameshinda mataji mengi zaidi ya kumi na moja, akifuatiwa na Will Smith na Adam Sandler. Whoopi Goldberg ndiye mtu pekee aliyepata tuzo ya Chaguo la Watoto, pamoja na mchanganyiko wa [http://"EGOT" "EGOT"] wa Emmy, Grammy, Oscar, na Tony. Rosie O'Donnell ameshiriki onyesho mara nyingi, na kufuatiwa na Jack Black, na John Cena .

Historia

Alan Goodman, Albie Hecht, na Fred Seibert walitengeneza onesho la tuzo baada ya Nickelodeon kutengeneza sehemu inayoitwa The Big Ballot kwa ajili ya onyesho kupitia filamu iliyoandaliwa kwaajili ya watoto wenye umri mdogo mnamo mwaka 1987, jina lake lilichaguliwa kutokana na watoto waliopiga kura. Ili kupiga kura, watazamaji watatuma karatasi za kura na kisha kabla ya onyesho, karatasi za kura zitahesabiwa na washindi wataonyesha video. Goodman, Hecht, na Seibert walihisi kwamba wanahitaji mfumo mkubwa zaidi wenye kusisimua zaidi.


Marejeo

Viungo vya nje

Tuzo Za Chaguo La Watoto Za Nickelodeon  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ApriliJumamosiMachiMachungwaMarekaniRangiSanamuShereheUsikuWatoto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya pekeeDioksidi kaboniaMfumo wa JuaTreniFIFAWanyamweziMkoa wa KataviMaghaniUkraineMalipoEthiopiaKongoshoMkoa wa SongweOrodha ya Marais wa MarekaniKisononoKarne ya 20Mgawanyo wa AfrikaWilliam RutoAngahewaWamanyemaVivumishi vya -a unganifuUhindiKiarabuShahawaHali maadaAlasiriMji mkuuFerbutaMalawiAgano la KaleNdoa ya jinsia mojaSaida KaroliSimu za mikononiAbd el KaderMichezoMohamed HusseinMahariEdward SokoineBilioniVisakaleRisalaShomari KapombeJamhuri ya KongoTarakilishiMkoa wa ManyaraKata za Mkoa wa MorogoroUti wa mgongoAntibiotikiOrodha ya majimbo ya MarekaniAli Hassan MwinyiNdovuMakkaChunusiDiego GraneseMtende (mti)Mkoa wa MaraDaudi (Biblia)Kitenzi kikuu kisaidiziYesuOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSeli za damuUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaPasaka ya KikristoMuundo wa inshaUrusiNomino za jumlaHakiRaiaTafsiriMkoa wa KageraInjili ya LukaImaniMofolojiaAli Mirza WorldKiswahiliMadhara ya kuvuta sigaraLigi ya Mabingwa AfrikaOrodha ya Marais wa Tanzania🡆 More