Emmy

Emmy Award au Tuzo za/ya Emmy (pia inajulikana kama 'Emmy') ni tuzo ya matayarisho ya televisheni.

Kwa asili inaonekana kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masuala ya burudani, na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy Award (kwa ajili ya filamu), Grammy Award (kwa ajili ya muziki) na Tony Award (kwa ajili ya maigizo).

Emmy
Hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri sana katika televisheni
Hutolewa na ATAS/NATAS
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1949

Hutoa zawadi kwa ajili sekta mbalimbali ya soko la televisheni, ikiwemo na vipindi vya burudani, habari na makala ya TV, na vipindi vya michezo. Kwa maana hiyo, zawadi hutolewa katika kila baadhi ya maeneo ambapo sherehe hizi hufanyika kila ifikapo baada ya mwaka.

Marejeo

Emmy  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Academy AwardFilamuGrammy AwardMuzikiTelevisheniTuzo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiongoziDamuDNAKipindupinduMuundoOrodha ya viongoziMimba kuharibikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaBarabaraNgome ya YesuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniViwakilishi vya pekeeShangaziKichochoUgonjwa wa uti wa mgongoNandyFasihi andishiHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBendera ya ZanzibarHali ya hewaMitume na Manabii katika UislamuOrodha ya Marais wa TanzaniaMkoa wa MaraMfumo wa nevaSimuKishazi huruMkuu wa wilayaJotoOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaJohn MagufuliBaraza la mawaziri Tanganyika 1961WhatsAppShikamooMkojoMadawa ya kulevyaDiamond PlatnumzMkoa wa SongweMethaliKanisa KatolikiMadhehebuMkoa wa GeitaKabilaKiburiHuduma za Maktaba TanzaniaFasihi simuliziKata za Mkoa wa Dar es SalaamEe Mungu Nguvu YetuSkeliKylian MbappéTafsidaNishatiVita ya Maji MajiJérémy DokuPichaHifadhi ya Taifa ya NyerereBunge la TanzaniaLuka ModricVivumishi ya kuulizaManchester United F.C.KomaMsamiatiWakingaMeliMkoa wa ArushaTeknolojiaZanzibar (Jiji)Borussia DortmundBarua pepeTabianchi ya TanzaniaKutoka (Biblia)MivighaUbepariTungo kiraiFacebookMeno🡆 More