Soga ni utanzu wa fasihi simulizi unaosimulia matukio fulani kwa makusudi ya kusisimua.
Utanzu huo hutumika pia kama masimulizi yanayoibua utani kuhusu jamii fulani . Pia ni hadithi zinazokusanya ucheshi ndani yake na mara nyingi hadithi hizo husababisha mtu kutabasamu pindi anaposimuliwa.
Mara nyingi soga huwa hadithi ndogondogo zilizokusanya mzaha lakini wenye mafunzo muhimu kwa binadamu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soga (hadithi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Soga (hadithi), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.