Sifuri: Nambari

Sifuri (au sufuri kutoka Kiarabu sifr iliyotafsiri neno la Kisanskrit sunya lenye maana ya mahali patupu) ni namba ya pekee ambayo haina thamani peke yake, mpaka iandikwe baada ya namba nyingine yoyote: hapo inazidisha thamani yake mara kumi.

Kwa kawaida inaandikwa 0 lakini ٠ kwa namba za Kiarabu.

Sifuri: Nambari
Tarakimu sifuri.

Kwa Kiswahili namba hiyo inaitwa pia ziro kutokana na neno hilohilo la Kiarabu lakini kwa kupitia Kiitalia, Kifaransa na hatimaye Kiingereza (inapoandikwa zero).

Sifuri kama namba ilianza kutumika India kabla ya karne ya 9 BK, pengine hata karne ya 3.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Sifuri: Nambari 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sifuri: Nambari  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sifuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiarabuKisanskritKumiNambaNenoThamani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MsamiatiIniRose MhandoMartha MwaipajaKipazasautiSentensiJulius NyerereWilayaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiUlumbiTume ya Taifa ya UchaguziVivumishi vya pekeeShambaBurundiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Pijini na krioliSah'lomonKoroshoFisiPunyetoAustraliaShengMmeaMethaliSamakiHistoria ya WapareMwenge wa UhuruKiraiChristopher MtikilaSensaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaHedhiUfugajiSayansi ya jamiiBarua rasmiSiafuRita wa CasciaMkoa wa TaboraNandyAina za manenoBarua pepeMkuu wa wilayaKihusishiMariooChumba cha Mtoano (2010)Mikoa ya TanzaniaKanga (ndege)Ligi Kuu Tanzania BaraYouTubeLuhaga Joelson MpinaUjerumaniHistoria ya UislamuTumbakuNahauRupiaUkooNgiriMnyamaMchwaMitume wa YesuMaumivu ya kiunoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMbeyaHoma ya matumboUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaAmfibiaIntanetiUtendi wa Fumo LiyongoJose ChameleoneMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaNg'ombe🡆 More