Sekunde ya tao (ing.
Inataja sehemu ya 3600 ya nyuzi moja.
Sekunde 60 za tao zinalingana na dakika moja ya tao. Dakika 60 za tao zinalingana na nyuzi moja. Nyuzi 360 ni sawa na duara kamili.
Kifupi chake ni arcsec au alama ya ".
Katika astronomia na upimaji wa Dunia pia kuna migawanyo midogo zaidi ya sekunde ya tao:
Kipimo cha kawaida cha umbali katika astronomia (pamoja na kizio astronomia na mwakanuru) ni parsek inayofafanuliwa kuwa umbali kati ya Jua na gimba la angani linaoonekana kwa pembe ya paralaksi la sekunde moja ya tao (1 arcsecond).
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sekunde ya tao, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.