San José ni mji mkuu wa Kosta Rika.
Iko katikati ya nchi kwenye kimo cha 1,170 meters juu ya UB.
Jiji la San Jose | |
Nchi | Kosta Rika |
---|
Mji ulikuwa na wakazi 309,672 mwaka 2000.
San José ilikuwa kijiji kidogo hadi mwaka 1824. Wakati ule rais wa kwanza wa Kosta Rika huru aliamua kuhamisha mji mkuu kutoka mji wa kikoloni wa Cartago na kuanzisha makao mapya.
1884 San Jose ilikuwa mji wa kwanza wa Amerika ya Kati na Amerika ya Kusini ya kupata taa za umeme.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Jose (Kosta Rika) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article San Jose (Kosta Rika), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.