Pierre Buyoya

Pierre Buyoya (Rutovu, Mkoa wa Bururi, 24 Novemba 1949 - Paris, Ufaransa, 18 Desemba 2020) alikuwa askari (meja) na mwanasiasa wa Burundi ambaye alitawala nchi mara mbili, kutoka mwaka 1987 hadi 1993 na kutoka 1996 hadi 2003.

Kwa hiyo miaka 13 ya pamoja kama Mkuu wa Nchi, Buyoya ndiye Rais wa Burundi aliyeongoza muda mrefu zaidi.

Pierre Buyoya
Pierre Buyoya

Mwaka 2020 alihukumiwa kwenda jela maisha kwa kumuua mwandamizi wake, Melchior Ndadaye mwaka 1993, lakini kabla hajafungwa alifariki dunia kutokana na virusi vya Corona.

Tanbihi

Pierre Buyoya  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Buyoya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

18 Desemba19491987199319962003202024 NovembaAskariBurundiMejaMkoa wa BururiMudaMwakaMwanasiasaParisUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kisiwa cha MafiaKalenda ya KiislamuUmoja wa MataifaWahayaBiblia ya KikristoBibliaWhatsAppSeli nyeupe za damuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMangi MeliVidonge vya majiraWasabatoMandhariSaratani ya mlango wa kizaziWahaMkoa wa MbeyaMwanzoWapareUzalendoUtumbo mwembambaMizimuPaul MakondaNomino za dhahaniaInsha ya wasifuMaana ya maishaTanescoJipuNetiboliPaka-kayaJunior Senior (2002 film)IsimujamiiPiragu (filamu)Chuo Kikuu cha Dar es SalaamMtakatifu PauloBikira MariaUtamaduni wa KitanzaniaZuhuraWamasoniBurundiUchawiMkoa wa ShinyangaMkoa wa DodomaUshindiJamhuri ya Watu wa ZanzibarShaaban (mwezi)UkimwiHifadhi ya Taifa ya NyerereMajiWilaya za TanzaniaAli KibaNguzo tano za UislamuNimoniaAfrika Mashariki 1800-1845WabondeiAgano la KaleUkristo barani AfrikaAsili ya KiswahiliTanganyikaSadakaUgonjwa wa uti wa mgongoUnyenyekevuMautiKenyaRufiji (mto)Zama za MaweMfumo wa JuaAfrica AddioChawaStephane Aziz KiKisaweMng'ong'oMgawanyo wa AfrikaMadhehebu🡆 More