Papa Alexander IV (takriban 1199 – 25 Mei 1261) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/20 Desemba 1254 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rinaldo. Alikuwa mpwa wa Papa Gregori IX.
Alimfuata Papa Inosenti IV akafuatwa na Papa Urbano IV.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Papa Alexander IV, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.