Orodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia

Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Malaysia.

Vyuo vya binafsi vinajumuisha matawi ya vyuo vikuu vya Malaysia na kampasi za vyuo vya nchi za kigeni.

Orodha inayofuata imeainishwa katika matawi mawili ambayo yanaambatanishwa na majimbo vinamopatikana. Kwa kusudi la orodha hii, taasisi za masomo ya juu zilizoidhinishwa kutoa shahada za digrii lakini ambazo si vyuo vikuu zimejumuishwa katika mgao wa vyuo ambatani (ikiwa ni pamoja na taasisi zisizokuwa za elimu chini ya sheria ya elimu 1996). Taasisi za masomo ya juu ambazo hazijaidhinishwa kuwapa shahada wanafunzi, zimeorodheswa katika orodha tofauti.

Ikiwa taasisi fulani hazina tafsiri rasmi ya majina yake, hupewa tafsiri na Muungano wa Jumuiya ya Vyuo Vikuuna kutumiwa.

Vyuo vikuu na vyuo vingine vya umma

Vyuo vya umma nchini Malaysia hupata fedha kutoka kwa serikali na kutawaliwa/simamiwa kama taasisi za binafsi. Kando na Chuo Kikuu cha Malaysia na Chuo Kikuu Teknolojia cha Mara vilivyoanzishwa na sheria mbili tofauti za Bunge, vyuo vingine vya umma nchini Malaysia viliundwa na halmashauri kuu kutokana na sheria ya mwaka 1971 kuhusu vyuo vikuu na sehemu ya vyuo hivyo. Archived 20 Agosti 2008 at the Wayback Machine. Hadi hivi karibuni, Wizara ya Elimu iliwajibika kwa taasisi saba zilizo sehemu ya vyuo vikuu. Taasisi hizi (matawi ya vyuo vikuu) zimepandishwa daraja na kuwa vyuo vikuu na kwa sasa hamna matawi ya vyuo vikuu.















Vyuo vikuu na vyuo vingine vya binafsi

Kuanzishwa kwa vyuo vikuu vya binafsi na matawi ya vyuo vikuu kuliwezekana kutokana na sheria ya 1996 iliyoruhusu kuanzishwa kwa taasisi za elimu ya juu za kibinafsi. Archived 29 Oktoba 2008 at the Wayback Machine. Hapo awali taasisi za elimu ya juu za kibinsfsi zilikuwepo lakini hazikuidhinishwa kutoa shahada zake za digrii. Badala yake, ziliwapa wanafunzi mafunzo na kuwapa shahada kutoka vyuo vingine.










Marejeo

Angalia pia

  • Elimu ya Malaysia

Viungo vya nje

Tags:

Orodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia Vyuo vikuu na vyuo vingine vya ummaOrodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia Vyuo vikuu na vyuo vingine vya binafsiOrodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia MarejeoOrodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia Angalia piaOrodha Ya Vyuo Vikuu Malaysia Viungo vya njeOrodha Ya Vyuo Vikuu MalaysiaMalaysiaVyuo vikuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uandishi wa ripotiNguruweRamadan (mwezi)SentensiOrodha ya Marais wa ZanzibarKiarabuMamaUpendoMaana ya maishaKimondo cha MboziHistoria ya KiswahiliNungununguDeuterokanoniTungoMahakamaChawaMkoa wa RukwaUyahudiTarafaJokate MwegeloAbrahamuHistoria ya uandishi wa QuraniKukiKorea KaskaziniKataKiingerezaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUNICEFAina ya damuCAFBinamuKarne ya 18Nomino za wingiDubaiIsimuShairiZama za ChumaMajira ya mvuaKiunzi cha mifupaItifakiRitifaaBendera ya TanzaniaAntibiotikiOrodha ya maziwa ya TanzaniaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliWachaggaFonetikiUbakajiTabataKumaIniMunguSoko la watumwaHoma ya iniVivumishi vya idadiIsraeli ya KaleKifo cha YesuNileNeemaAbby ChamsKiumbehaiMziziAsiliMkoa wa MorogoroMzabibuIdi AminTungo kiraiWizara za Serikali ya TanzaniaAdhuhuriOrodha ya MiakaKiboko (mnyama)Orodha ya Magavana wa TanganyikaMkoa wa ShinyangaMaadiliMfumo katika sokaKalenda ya Kiislamu🡆 More