Nuku'alofa

Nuku'alofa ni mji mkuu wa Tonga mwenye wakazi 22,400 (1996).

Iko Tongatapu ambayo ni kisiwa kikubwa cha nchi.

Nuku'alofa
Jumba la kifalme mjini Nuku'alofa, Tonga
Nuku'alofa
Soko la Talamahu mjini Nuku'alofa

Mji ulianzishwa mwaka 1795 pamoja na jumba la kifalme. Mwanzo wa karne ya 19 boma likaongezwa. Imetangazwa kuwa mji mkuu mwaka 1845.

Nuku'alofa Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Mji mkuuTonga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya UislamuSiasaKisimaNetiboliBiasharaSimuNyegeUsafi wa mazingiraOrodha ya viongoziWaziriTungo kishaziOrodha ya makabila ya TanzaniaChristina ShushoUgonjwa wa kuharaUandishiUkatiliUundaji wa manenoPesaNembo ya TanzaniaUandishi wa inshaDhima ya fasihi katika maishaKisaweKinembe (anatomia)Kiolwa cha anganiUnyagoStashahadaHoma ya matumboWimboHistoria ya ZanzibarBloguKiwakilishi nafsiUnyenyekevuMoscowMkoa wa PwaniNuktambiliHaki za wanyamaJava (lugha ya programu)NduniTawahudiShambaBarua pepeUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaUmememajiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMahakamaUzazi wa mpangoAgano JipyaKichochoWamasaiKukuBaraza la mawaziri TanzaniaNileNevaAthari za muda mrefu za pombeNyati wa AfrikaKhalifaUmoja wa MataifaCleopa David MsuyaManchester CityKumaNgono zembeKihusishiMeno ya plastikiMkopo (fedha)Kidole cha kati cha kandoSikioViunganishiSaratani ya mlango wa kizaziKiambishi tamatiKutoa taka za mwiliUajemiKitenzi kikuu kisaidizi🡆 More