Mto Tanaro ni wa sita nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 276.
Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi kuingia katika mto Po.
Beseni lake huwa na eneo la km² 8,175.
Unapitia mikoa ya Piemonte na Liguria tu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Tanaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mto Tanaro, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.