Bara la Afrika ndio lenye asilimia kubwa ya Vijana duniani ikiwa na zaidi ya Vijana milioni 400 wenye umri kati ya miaka 15 mpaka 35.
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo: Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Kwa ongezeko hili la vijana barani Afrika ni muhimu kuwa na ukuaji wa uwekezaji kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, ili kuboresha maendeleo ya Mataifa ya Afrika.
Umoja wa Afrika umetengeneza sera za maendeleo mbalimbali kwaajili ya bara zima ili kuhakikisha bara zima linanufaika na sera hizo. Sera hizo ni pamoja na mikataba kwa ajili ya vijana wa Afrika, mipango ya miaka kumi kwaajili ya vijana, na Mpango wa uwezeshaji wa vijana wa Malabo. Yote haya yakifanikishwa kupitia programu 2063 za Umoja wa Afrika.
Mpango wa Miaka kumi kwaajili ya vijana una vipaumbele vifuatavyo;
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mpango wa Miaka kumi kwaajili ya vijana barani Afrika, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.