Montell Jordan

Montell Jordan (amezaliwa tar.

3 Desemba 1968) ni mwimbaji, mtunzi wanyimbo, na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani. Jordan amekuwa msanii wa kujitegemea mkubwa kwenye studio ya Def Soul hadi hapo alipokuja kuondoka kwenye studio hiyo mnamo mwaka wa 2003.

Montell Jordan
Montell Jordan, mnamo 2008
Montell Jordan, mnamo 2008
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Montell Du'Sean Barnett
Amezaliwa 3 Desemba 1968 (1968-12-03) (umri 55)
Los Angeles, California, Marekani
Aina ya muziki R&B, New Jack Swing, Hip hop
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi
Miaka ya kazi 1994–mpaka sasa
Studio PMP/RAL, Def Soul (1995–2002)
Koch (2003–2004)
Universal/Fontana (2008)
Ame/Wameshirikiana na Shae Jones
Tovuti montellmusic.com

Diskografia

    Makala kuu: Diskografia ya Montell Jordan
  • This Is How We Do It (1995)
  • More… (1996)
  • Let's Ride (1998)
  • Get It On…Tonite (1999)
  • Montell Jordan (2002)
  • Life After Def (2003)
  • Let It Rain (2008)

Marejeo

Viungo vya Nje

Montell Jordan  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Montell Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19683 DesembaMarekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DubaiUrusiUtandawaziDUtafitiUsawa (hisabati)MakkaUkwapi na utaoMbwaIraqBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiAli KibaMenoMnyoo-matumbo MkubwaZuhuraHewaKiranja MkuuLiberiaMazingiraVipera vya semiNomino za wingiOrodha ya Marais wa MarekaniRaila OdingaUsawa wa kijinsiaKodi (ushuru)MagavanaInternet Movie DatabaseMkoa wa ArushaKiraiHoma ya matumboKifo cha YesuDhahabuUfahamuMfumo wa homoniProtiniNguvuLahaja za KiswahiliLGBTNominoBinadamuMtandao wa kompyutaOrodha ya Magavana wa TanganyikaDaniel Arap MoiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaPanziMchezoKipandausoUturukiVivumishi vya urejeshiKiboko (mnyama)PamboKunguruTetekuwangaOrodha ya shule nchini TanzaniaJamiiKongoshoMfumo wa JuaMandhariMatamshiUandishi wa ripotiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)SikioNabii EliyaZana za kilimoVielezi vya mahaliYoung Africans S.CChris Brown (mwimbaji)MamaliaWaheheMkoa wa KigomaVatikaniLugha ya taifaMtakatifu PauloUchambuzi wa SWOT🡆 More