Mocco Genius: Mtayarishaji wa nyimbo kutoka Tanzania

Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.

Idd Mohamed Ngomba (anajulikana kama Mocco Genius) alizaliwa tarehe 04 Oktoba 1993 huko Lindi katika pwani ya kusini mashariki mwa Tanzania. Hivi sasa yuko Dar Es Salaam, Tanzania. Kwa sasa ni mtayarishaji wa nyimbo kutoka Tanzania. Anajulikana zaidi kwa kutayarisha nyimbo maarufu za Bongo Fleva kama "Cheche" ya Zuchu akimsirikisha Diamond Platnumz, "Omukwano" ya Tommy Flavour akimshirikisha Alikiba, Pia amehusika kutayarisha wimbo wa "Inatosha" wa Mwanamuziki maarufu Marioo na nyingine nyingi.

Mocco Genius
Amezaliwa Oktoba 4 1993 (1993-10-04) (umri 30)
Asili yake Lindi Tanzania
Kazi yake Mtayarishaji
Miaka ya kazi 2017 - Mpaka sasa
Studio Imagination Sound
Tovuti https://moccogenius.wordpress.com/

Kama mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Imagination Sound, studio ya kurekodi muziki jijini Dar es Salaam, Tanzania ambayo ni maarufu kwa kutengeneza vibao vya Bongo Flava, Mocco ana mchango mkubwa katika tasnia ya muziki ya Afrika Mashariki.

Mocco amefanya kazi na wanamuziki mashuhuri kutoka kote barani Afrika na ameweza kutengeneza nyimbo na wasanii kama Diamond Platnumz, Alikiba, Mbosso, Zuchu, Marioo n.k..[onesha uthibitisho]


References

MOCCO GENIUS : ALI KIBA ALIWAAMBIA WACHAGUE/ MBOSSO MSHIKAJI WANGU SANA .........

BIRTHDAY PARTY YA MOCCO GENIUS YAWAKUTANISHA USO kwa USO MAPRODUCER TZ NAKUTENGENEZA BEAT ya PAMOJA

Meet Mocco Genius: The Man behind Top Hits in Tanzania

Mocco Genius Lyrics, Songs, and Albums | Genius

Latest Mocco Genius Songs 2021 | Mocco Genius MP3 Music Archived 28 Aprili 2021 at the Wayback Machine.

Mocco Genius Aibukia kwenye Bongo Fleva

Tags:

Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)Wikipedia:Umaarufu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NimoniaMaharagweHomoniAfrika KusiniHistoria ya KenyaMahakamaMbuga za Taifa la TanzaniaMkoa wa KageraDiamond PlatnumzMkoa wa ManyaraKusiniUajemiMzeituniMkoa wa GeitaVipaji vya Roho MtakatifuUfugaji wa kukuMkoa wa SongweUchimbaji wa madini nchini TanzaniaUchawiKichomi (diwani)DamuNdoa ya jinsia mojaUtegemezi wa dawa za kulevyaKipajiUlayaVivumishi vya sifaLionel MessiMfumo wa upumuajiIsraelMbooUtandawaziFacebookJay MelodyVidonge vya majiraOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMavaziUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKifo cha Yesu13NguruweUfufuko wa YesuMkondo wa umemeNabii EliyaMivighaYesuAmfibiaNomino za dhahaniaSentensiOrodha ya Marais wa UgandaNandyMandhariUkimwiSikioDubaiKitenzi kikuu kisaidiziKikohoziHarmonizeKiangaziInjili ya LukaHistoria ya TanzaniaKanga (ndege)Kiboko (mnyama)Nomino za kawaidaMakkaBarua pepeLatitudoSamia Suluhu HassanMalariaVita ya Maji MajiUkristoMtandao wa kompyutaDubai (mji)Mobutu Sese SekoPasaka ya KikristoMautiHistoria ya uandishi wa QuraniMkoa wa MorogoroMkutano wa Berlin wa 1885Lishe🡆 More