Meli Kubwa Duniani

Meli kubwa duniani siku hizi ni meli za mizigo hasa zinazobeba mafuta ya petroli au kontena, lakini pia meli za abiria zinazobeba watalii kwa burudani.

Kuna pia meli chache zenye kusudi maalumu kama MS Pioneering Spirit ambayo ni meli kubwa ya winchi kwa ujenzi baharini.

Meli Kubwa Duniani
Seawise Giant ilikuwa meli kubwa iliyotengenezwa hadi leo (2018); hapa wakati wa ukarabati 1990 huko Singapur

Meli kubwa kabisa iliyojengwa hadi sasa ilikuwa Seawise Giant yenye tani GT 564,763 na urefu wa mita 458. Ilitengenezwa mwaka 1974-1979 nchini Japani kwa kampuni ya Kigiriki na kurefushwa baadaye hadi kufikia mita 458. Kutokana na ukubwa wake haukuweza kupita wala katika Mfereji wa Suez wala katika Mfereji wa Kiingereza. Miaka yake ya mwisho ilitumiwa kama tangi ya mafuta tu bila kusafiri tena. Mwaka 2009 ilivunjika.

Orodha ya meli kubwa duniani mnamo mwaka 2018

Jina inabeba Urefu Kina chini ya uso wa maji Tani GT Wajenzi Wamiliki ref
Pioneering Spirit winchi na karahana mita 382 mita 10–15 403,342 Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering Allseas
FSO Asia mafuta mita 379 mita 24.525 234,006 Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering Tankers International
FSO Africa mafuta mita 379 mita 24.525 234,006 Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering Tankers International
TI Europe mafuta mita 379 mita 24.525 234,006 Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering Tankers International
Seaways Laura Lynn mafuta mita 379 mita 24.525 234,006 Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering Tankers International
Symphony of the Seas abiria mita 361.011 mita 9.322 228,081 STX France SA Royal Caribbean International
Harmony of the Seas abiria mita 362.1 mita 9 226,963 STX France SA Royal Caribbean International
Oasis of the Seas abiria mita 360 mita 9 225,282 STX Turku Shipyard Royal Caribbean International
Allure of the Seas abiria mita 360 mita 9 225,282 STX Turku Shipyard Royal Caribbean International
CMA CGM Antoine de Saint Exupery kontena mita 400 mita 16 217,673 Hanjin Heavy Industries and Construction Philippines CMA CGM
CMA CGM Jean Mermoz kontena mita 400 mita 16 217,673 Hanjin Heavy Industries and Construction Philippines CMA CGM
Ever Golden kontena mita 400 mita 16 217,612 Imabari Shipbuilding Saijo Evergreen Marine
Ever Genius kontena mita 400 mita 16 217,612 Imabari Shipbuilding Saijo Evergreen Marine
Ever Goods kontena mita 400 mita 16 217,612 Imabari Shipbuilding Marugame Evergreen Marine
Madrid Maersk kontena mita 399 mita 16 214,286 Daewoo Shipbuilding and Marine Engineering Maersk
Munich Maersk kontena mita 399 mita 16 214,286 Daewoo Shipbuilding and Marine Engineering Maersk

Marejeo

Tags:

KontenaMafuta ya petroliMeli

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Bonde la Ufa la Afrika ya MasharikiVidonge vya majiraAfrika KusiniKitomeoAlama ya barabaraniMashuke (kundinyota)SayariKanisa KatolikiSemantikiGhuba ya UajemiImaniLafudhiWachaggaHuduma ya kwanzaMachweoZabibuMfumo wa upumuajiTasifidaKiswahiliRose MhandoBarack ObamaUtumwaMkoa wa KilimanjaroStephane Aziz KiZama za MaweOrodha ya nchi za AfrikaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaVita Kuu ya Pili ya DuniaIsraelMkoa wa KigomaVipimo asilia vya KiswahiliKitunda (Ilala)Kibu DenisHurafaAmri KumiMartha MwaipajaTenzi tatu za kaleUNICEFJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaLigi ya Mabingwa UlayaIsimujamiiManchester CityWema SepetuFasihiDuniaBiblia ya KikristoNdege (mnyama)TausiMarie AntoinetteKaswendeSadakaTwigaSimbaMfumo wa uendeshajiJakaya KikweteKitenzi kikuuNishati ya mwangaBenki ya DuniaMimba kuharibikaBungeKataHussein Ali MwinyiHistoria ya Kanisa KatolikiKisaweMishipa ya damuMohamed HusseinHeshimaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaAmina ChifupaBinadamuChelsea F.C.Aina za maneno🡆 More