Marko Chong Uibae

Marko Chong Uibae (alifariki Seoul, 11 Machi 1866) alikuwa katekista ambaye alipata kuwa ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888.

Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000. Pamoja na mvulana Aleksi U Seyong alitukanwa na kuteswa hata na ndugu zao kwa ajili ya imani hiyo.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 11 Machi.

Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society).

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Marko Chong Uibae  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Marko Chong Uibae MazingiraMarko Chong Uibae Tazama piaMarko Chong Uibae TanbihiMarko Chong Uibae MarejeoMarko Chong Uibae Viungo vya njeMarko Chong Uibae11 Machi179118661888Aleksi U SeyongImaniKanisa KatolikiKatekistaKoreaKundiMvulanaNduguSeoulWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wilaya ya TemekeBidiiUkristoOrodha ya majimbo ya MarekaniWhatsAppKukiPaul MakondaEl NinyoShinikizo la juu la damuBunge la TanzaniaBiolojiaUlimwenguMmeaViwakilishi vya kuoneshaUkristo barani AfrikaMizimuAfrika KusiniOrodha ya milima ya TanzaniaMauaji ya kimbari ya RwandaKichecheLeonard MbotelaAlomofuMariooMilaTafakuriKiumbehaiEdward SokoineNenoChumba cha Mtoano (2010)Luhaga Joelson MpinaMfuko wa Mawasiliano kwa WoteMfumo wa mzunguko wa damuTarbiaC++Mkoa wa RukwaKiambishi tamatiOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMkoa wa ShinyangaTiktokKilimoUbongoMartin LutherIsimujamiiManchester CityUundaji wa manenoDamuSaratani ya mlango wa kizaziJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoRayvannyJay MelodyWanyama wa nyumbaniUfahamu25 ApriliMillard AyoMimba za utotoniRupiaHussein Ali MwinyiJamhuri ya Watu wa ChinaKataHadithiBendera ya ZanzibarMkoa wa PwaniAmfibiaKenyaJose ChameleoneMaambukizi nyemeleziUkristo nchini TanzaniaRoho MtakatifuVirusi vya UKIMWIMichael JacksonOrodha ya Marais wa TanzaniaJinaWameru (Tanzania)NyaniMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiTambiko🡆 More