Louis Leipoldt: Mshairi wa Afrika Kusini, mwigizaji, daktari, ripota, mtaalam wa chakula na mkusanyaji wa mimea

Dr.

Christian Frederik Louis Leipoldt (28 Desemba 1880 - 12 Aprili 1947) alikuwa mwandishi, daktari na mkaguzi wa shule kutoka Afrika Kusini. Aliandika mashairi mengi ya Kiafrikaans pamoja na maandishi ya habari na kuhusu tiba.

Maandishi yake

  • Oom Gert Vertel en Ander Gedigte (1911; "Mjomba Gert Husimulia na Mashairi Mengine")
  • Bushveld Doctor (1937; tawasifu)
  • The Ballad of Dick King and Other Poems (1949)
  • Stormwrack (1980; imetolewa baada ya kifo chake)

Angalia pia

Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Louis Leipoldt: Mshairi wa Afrika Kusini, mwigizaji, daktari, ripota, mtaalam wa chakula na mkusanyaji wa mimea  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Leipoldt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

12 Aprili1880194728 DesembaAfrika KusiniKiafrikaans

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ImaniMauaji ya kimbari ya RwandaHassan bin OmariKihusishiBaraMotoNjia ya MsalabaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWashambaaBiashara ya watumwaLil WayneTreniOrodha ya Marais wa MarekaniRisalaAmri KumiJogooHekalu la YerusalemuMbuga za Taifa la TanzaniaSaddam HusseinAbrahamuKiunguliaAgano JipyaUgonjwa wa uti wa mgongoJotoMkondo wa umemeUtamaduni wa KitanzaniaUkristo barani AfrikaKadi ya adhabuChombo cha usafiriOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaTarafaArusha (mji)Mamba (mnyama)MaghaniMusaMikoa ya TanzaniaZabibuMkungaSomo la UchumiUkwapi na utaoMkoa wa LindiDuniaKisononoWilaya za TanzaniaChakulaJipuKonsonantiAshokaHistoria ya Kanisa KatolikiItikadiHistoria ya WokovuLigi ya Mabingwa AfrikaBustani ya EdeniMaambukizi nyemeleziKombe la Dunia la FIFANabii EliyaAdolf HitlerOrodha ya Marais wa BurundiKima (mnyama)Fid QHijabuMohamed HusseinSimba S.C.MongoliaLugha ya taifaRadiRita wa CasciaVielezi vya namnaKondomu ya kikeKata za Mkoa wa Dar es SalaamNelson MandelaMuda sanifu wa duniaKisimaHali maadaNgono zembe🡆 More