Kiafrikana: Lugha ya Kijerumani Magharibi, inayozungumzwa nchini Afrika Kusini na Namibia

Kiafrikana au Kiafrikaans ni lugha ya Afrika Kusini iliyotokea katika karne nne zilizopita kwenye msingi wa Kiholanzi pamoja na athari za lugha mbalimbali.

Hata kama ni lugha iliyozaliwa Afrika na kujadiliwa hapa, kitaalamu ni kati ya lugha za Kijerumaniki.

Kiafrikana: Lugha ya Kijerumani Magharibi, inayozungumzwa nchini Afrika Kusini na Namibia
Majimbo ya Afrika Kusini yenye wasemaji wengi au wengi kidogo wa Kiafrikana, kama lugha ya kwanza

Imekuwa lugha rasmi katika Afrika Kusini tangu mwaka 1925 badala ya Kiholanzi. Hadi sasa ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya lugha za taifa huko Namibia.

Colins kutoka Cape Town anaongea Kiafrikana.

Kiafrikana kina wasemaji wa lugha ya kwanza milioni saba ambao ni sawa na 13.5% za raia wa Afrika Kusini, ambako ni lugha ya tatu wenye wasemaji wengi baada ya Kizulu na Kixhosa. Wasemaji wote hukadiriwa kuwa kati ya milioni 15 hadi 23.

Ni lugha kuu kwenye nusu ya magharibi ya Afrika Kusini yaani kwnye majimbo ya Rasi ya Kaskazini na Rasi ya Magharibi. Kufuatana na sensa ya 2011 wasemaji wa Kiafrikana ni Machotara wa Afrika Kusini milioni 4.8, Wazungu wa Afrika Kusini milioni 2.7, Waafrika Weusi 600,000 na Wahindi wa Afrika Kusini 58,000.

Kiasili kilianzisha kutokana na Kiholanzi cha makaburu wa kwanza kikapokea asilimia 5-10 za msamiati kutoka lugha za Khoikhoi, Wareno, Wabantu, Wajerumani, Wafaransa na Waingereza. ya Afrika Kusini lakini imekuwa pia lugha ya wakazi chotara katika jimbo la Rasi Magharibi ("Cape Coloureds"). Leo hii wasemaji wa asili ya Ulaya ni chini ya nusu ya wasemaji wote wa Kiafrikana.

Inatumika pia Botswana, Eswatini na Zimbabwe.

Tanbihi

Viungo vya nje

Kiafrikana: Lugha ya Kijerumani Magharibi, inayozungumzwa nchini Afrika Kusini na Namibia  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiafrikana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AfrikaAfrika KusiniKarneKiholanziLughaLugha za KijerumanikiMsingi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtakatifu MarkoMkoa wa IringaUfahamuOrodha ya kampuni za TanzaniaMazungumzoUsafi wa mazingiraGazetiHoma ya matumboViwakilishi vya sifaUzazi wa mpangoNetiboliMkoa wa KataviMkoa wa TaboraChakulaFasihiVolkenoKajala MasanjaUmemeNomino za wingiMmomonyokoLugha ya isharaYoung Africans S.C.UgonjwaUkatili wa kijinsiaYesuSalaMishipa ya damuUkristo barani AfrikaWayahudiPandaDhima ya fasihi katika maishaAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuRejistaKito (madini)MnyamaUpinde wa mvuaLafudhiMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiUturukiDhahabuItikadi kaliUfeministiBongo FlavaHifadhi ya mazingiraUandishi wa barua ya simuVivumishi vya sifaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Homa ya iniKadi za mialikoJinsiaMadhara ya kuvuta sigaraMaadiliBinadamuInsha ya kisanaaItikadiPentekosteUtohoziMapinduzi ya ZanzibarMbuniMaji kujaa na kupwaMmeaNafsiMichezoOrodha ya milima mirefu dunianiAmri KumiWilaya ya NyamaganaHuduma ya kwanzaPesaMofimuNduniVita ya AbushiriJokofuMaghaniBiblia🡆 More