Kylie Minogue: Mwigizaji na mwimbaji nchini Australia

Kylie Ann Minogue (alizaliwa Melbourne, Australia, 28 Mei 1968) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu wa Australia.

Alianza kujibebea umaarufu kunako miaka ya 1980, kwa sababu ya kucheza katika moja ya sehemu ya tamthilia ya Neighbours, kabla ya kuwa dansa-mwimbaji wa pop.

Kylie Minogue
Kylie Minogue, mnamo 2018.
Kylie Minogue, mnamo 2018.
Jina Kamili Kylie Ann Minogue
Jina la kisanii Kylie Minogue
Nchi Australia
Alizaliwa 28 Mei 1968
Aina ya muziki Pop
dance-pop
Europop
Hi-NRG
Eurodance
R&B
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1987–hadi leo (mwimbaji)

1979–hadi leo (mwigizaji)

Ala Sauti

Viungo vya nje

Kylie Minogue: Mwigizaji na mwimbaji nchini Australia 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
  • Kylie.com — owned and maintained by EMI and represents Kylie Minogue. (EMI is the owner of Kylie Minogue's current label, Parlophone.)
  • Kylie Minogue katika MySpace
Kylie Minogue: Mwigizaji na mwimbaji nchini Australia  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kylie Minogue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

196828 MeiAustraliaFilamuMelbourneMiaka ya 1980MwigizajiMwimbaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BikiraAmri KumiJinaLady Jay DeeOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaHistoria ya KenyaLigi Kuu Tanzania BaraSarangaHistoria ya Kanisa KatolikiMmeaAkiliZama za ChumaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniRaiaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKongoshoInjili ya LukaMichael JacksonHadithiMafua ya kawaidaMartha MwaipajaFigoMauaji ya kimbari ya RwandaUtumwaTungo sentensiNg'ombeMkoa wa KageraUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKengeVivumishi vya pekeeDiamond PlatnumzHistoria ya WasanguOrodha ya Watakatifu wa AfrikaHussein Ali MwinyiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMaumivu ya kiunoTabianchi ya TanzaniaMitume na Manabii katika UislamuMapenziWazigulaBarabaraWakaguruMhandisiJipuMeena AllyMjasiriamaliLigi ya Mabingwa AfrikaAina za udongoMtiMishipa ya damuOrodha ya miji ya TanzaniaWasukumaMfumo wa upumuajiBaruaIyumbu (Dodoma mjini)PichaMtandao wa kijamiiAlama ya barabaraniApril JacksonMuundoRwandaMtaalaPopoWilaya ya NyamaganaDoto Mashaka BitekoLafudhiEverest (mlima)Namba ya mnyamaMkoa wa SongweVivumishi vya ambaHuduma ya kwanzaOrodha ya nchi za AfrikaChristina ShushoOmmy DimpozTasifida🡆 More